Nancy Lerner (Alizaliwa 1960) ni mwekezaji bilionea na mfadhili nchini Marekani. Yeye ni binti wa Al Lerner, mwanzilishi wa kampuni ya kadi za mkopo MBNA Corporation. Alianzisha mpango wa Partnership for Families unaolipia In Vitro Fertilization kwa wanandoa ambao hawawezi kumudu gharama ya utaratibu huo. Anaishi Cleveland, Ohio.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nancy Lerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.