factograf
SW

Randy Lerner

Randy Lerner

Key facts

tarehe ya kuzaliwa21 Februari 1962
alisomaChuo Kikuu cha Columbia
kaziUjasiriamali, mwanasheria
mahali alipozaliwaBrooklyn

Randy Lerner (Alizaliwa Februari 21, 1962) ni mfanyabiashara bilionea na mmiliki wa zamani wa timu za michezo nchini Marekani. Alikua mmiliki mkuu wa timu ya futiboli ya Marekani Cleveland Browns ya National Football League (NFL) baada ya kifo cha baba yake Alfred Lerner mwaka 2002, na akaiuza timu hiyo mwaka 2012. Lerner alikua mmiliki na mwenyekiti wa klabu nchini Uingereza ya Aston Villa F.C. ya Ligi kuu Uingereza(EPL) mwaka 2006; aliiuza klabu hiyo kwa hasara mwaka 2016 baada ya kushuka daraja. Kufikia Julai 2024, Forbes ilikadiria utajiri wake kuwa dola bilioni 1.2.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Randy Lerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 14 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article