factograf
SW

Al Lerner

  • 1 min read

Alfred Lerner (Alizaliwa Mei 8, 1933 – Alifariki Oktoba 23, 2002) alikuwa mfanyabiashara bilionea nchini Marekani. Alijulikana zaidi kama mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya kadi za mkopo MBNA na mmiliki wa timu ya Cleveland Browns ya National Football League (NFL) kuanzia mwaka 1998 hadi 2002. Pia alikuwa rais wa zamani wa Bodi ya Wakurugenzi ya Cleveland Clinic na alikuwa mfadhili mkubwa.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Al Lerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article