WikiLeaks ni shirika la kimataifa lisilo la kiserikali linalochapisha habari za siri zinazofichuliwa na watu wasiojitambulisha (kwa Kiingereza: news leaks and classified media provided by anonymous sources).
Tovuti yake, iliyofunguliwa na Sunshine Press mwaka 2006 huko Iceland, ina nyaraka milioni 10.
Mwanzilishi wake ni Julian Assange. Toka mwaka 2018, Kristinn Hrafnsson ni mhariri wake mkuu.
Viungo vya nje
- Courage Foundation official website Ilihifadhiwa 11 Aprili 2019 kwenye Wayback Machine. An organization that supports whistleblowers and political prisoners
