factograf
SW

Tovuti

Tovuti

Tovuti (Kiing. website) ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile Internet Explorer Google Chrome na Mozilla Firefox kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "mtandao" au "Intaneti" au "wavuti".

Viungo vya nje

  • Tovuti ya kwanza iliyoundwa na Tim Berners-Lee
  • Internet Corporation For Assigned Names and Numbers (ICANN) - Shirika Linalosimamia Anuani za Tovuti Duniani
  • World Wide Web Consortium (W3C) - Shirika Linalohusika na Kanuni za Msingi za Ujenzi wa Tovuti (na mambo mengine yanayohusika na tovuti)
  • The Internet Society (ISOC)

Read next

In 150 languages

swAfrikaansAlemannischአማርኛÆngliscअंगिकाالعربيةالدارجةمصرىঅসমীয়াasturianuazərbaycancaتۆرکجهбашҡортсаBikol Centralбеларуская (тарашкевіца)беларускаяBetawiбългарскиभोजपुरीပအိုဝ်ႏဘာႏသာႏবাংলাbrezhonegbosanskicatalàCebuanoکوردیčeštinaCymraegdanskDeutschZazakiΕλληνικάEnglishEsperantoespañoleestieuskaraفارسیsuomifrançaisarpetanFryskGaeilgeGàidhliggalegoગુજરાતીGaelgעבריתहिन्दीhrvatskimagyarհայերենinterlinguaBahasa IndonesiaIdoíslenskaitaliano日本語JawaქართულიQaraqalpaqshaJjuқазақшаភាសាខ្មែរಕನ್ನಡ한국어کٲشُرkurdîкыргызчаLatinaLëtzebuergeschLimburgslombardລາວlietuviųlatviešuолык мариймакедонскиമലയാളംмонголဘာသာမန်मराठीBahasa MelayuMaltiမြန်မာဘာသာNedersaksiesनेपालीNederlandsnorsk nynorsknorskisiNdebele seSewulaoccitanOromooਪੰਜਾਬੀPälzischpolskiPiemontèisپنجابیپښتوportuguêsRuna Simiရခိုင်românăрусскийсаха тылаsicilianuScotsسنڌيSängösrpskohrvatski / српскохрватскиTaclḥitසිංහලSimple EnglishslovenčinaslovenščinaSoomaaligashqipсрпски / srpskiSundasvenskaதமிழ்తెలుగుtetunтоҷикӣไทยTagalogtoki ponaTürkçeтатарча / tatarçachiTumbukaукраїнськаاردوoʻzbekcha / ўзбекчаvènetoTiếng ViệtWest-VlamswalonWinarayWolof吴语მარგალურიייִדישVahcuenghⵜⴰⵎⴰⵣⵉⵖⵜ ⵜⴰⵏⴰⵡⴰⵢⵜ文言閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文isiZulu

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article