factograf
SW
Sign in

Paramore

Paramore
All data from the card 3
Asili yake
Franklin, Tennessee.
Aina ya muziki
Rock
Miaka ya kazi
2004-

Paramore ilianzishwa huko Franklin, Tennessee mwaka wa 2004, na Hayley Williams (Waimbaji mkuu) sambamba na Josh Farro (Mwanagitaa mkuu / anayenga mkono Waimbaji), Jeremy Davis (bass gitaa)]] na [[Zac Farro (mapipa). Kabla ya kuanzishwa kwa Paramore, wanabendi wengine hawakupendelea Williams awe mwimbaji, lakini kwasababu walikuwa marafiki alianza kutunga nyimbo nao na kisha kuwa mwanabendi. Bendi kimetoa Albamu tatu kwenye studio, All We Know Is Falling, Riot!, Na Brand New Eyes na vile vile live album mbili, na mmoja EP albums. Mwezi Juni 2009, bendi ilimkaribisha Taylor York (rhythm guitar) kama mwanachama rasmi, ingawa yeye alikuwa tayari alikuwa akicheza na bendi kutoka mwaka wa 2007.

Muziki

Albamu
  • 2005: All We Know Is Falling
  • 2007: Riot!
  • 2009: Brand New Eyes
  • 2013: Paramore

Viungo vya nje

  • paramore.net

Read next

In 140 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article