Grammy Legend Award, au Grammy Living Legend Award, ni tuzo maalumu inayotolewa na Grammy Awards kwa ajili ya wakongwe wa muziki walio hai, sherehe ambazo zilianzishwa tangu 1958 na hapo awali iliitwa Gramophone Awards.
Waliopokea tuzo hii
| Mwaka | Picha | Mpokeaji | Maisha | Utaifa | Marejeo |
|---|---|---|---|---|---|
| 1990 | Andrew Lloyd Webber | amezaliwa 1948 | Ufalme wa Muungano | ||
| 1990 | Liza Minnelli | amezaliwa 1946 | Marekani | ||
| 1990 | Smokey Robinson | amezaliwa 1940 | Marekani | ||
| 1990 | Willie Nelson | amezaliwa 1933 | Marekani | ||
| 1991 | Aretha Franklin | amezaliwa 1942 | Marekani | ||
| 1991 | Billy Joel | amezaliwa 1949 | Marekani | ||
| 1991 | Johnny Cash | 1932–2003 | Marekani | ||
| 1991 | Quincy Jones | amezaliwa 1933 | Marekani | ||
| 1992 | Barbra Streisand | amezaliwa 1942 | Marekani | ||
| 1993 | Michael Jackson | 1958–2009 | Marekani | ||
| 1994 | Curtis Mayfield | 1942–1999 | Marekani | ||
| 1994 | Frank Sinatra | 1915–1998 | Marekani | ||
| 1998 | Luciano Pavarotti | 1935–2007 | Italia | ||
| 1999 | Elton John | amezaliwa 1947 | Ufalme wa Muungano | ||
| 2003 | Bee Gees | — | Ufalme wa Muungano |