factograf
SW

Grammy Awards

Grammy Awards

Key facts

kuanzishwa1958
NchiMarekani
imeanzishwa naThe Recording Academy
ipo katika eneo la kiutawalaLos Angeles

Grammy Awards au Tuzo za Grammy (awali iliitwa Gramophone Awards)—au Grammys—hutolewa kila mwaka na National Academy of Recording Arts and Sciences ya nchini Marekani kwa ajili ya kazi zilizopata mafanikio makubwa katika soko la muziki. Sherehe hizi za ugawaji wa tuzo hushirikisha wasanii mashuhuri na wale machipukizi, na baadhi ya tuzo zao huwa maarufu na huonyeshwa katika matelevisheni mengi nchi nzima.

Viungo vya Nje

  • Grammy.com – official site
  • Grammy Awards Ilihifadhiwa 7 Machi 2010 kwenye Wayback Machine. at AOL Music
Lists
  • Grammy Awards winners Ilihifadhiwa 16 Juni 2009 kwenye Wayback Machine. at Grammy.com (searchable database)
  • Grammy Awards nominees Ilihifadhiwa 2 Juni 2009 kwenye Wayback Machine. at MetroLyrics (lists since 1958)
  • Grammy Awards Ilihifadhiwa 12 Februari 2009 kwenye Wayback Machine. at IMDb (wins and noms in film/TV-related awards)


Kigezo:Soko la muziki

Read next

In 107 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article