factograf
SW

Gabrielle Miller

Gabrielle Miller

Key facts

tarehe ya kuzaliwa9 Novemba 1973
kazimwigizaji
mahali alipozaliwaVancouver

Gabrielle Sunshine Miller (alizaliwa 9 Novemba, 1973) ni mwigizaji wa Kanada ambaye, tangu kuanza kwa kazi yake mwaka 1993, ameonekana katika filamu nyingi za televisheni na vipindi vya mfululizo wa televisheni, ikiwa ni pamoja na majukumu makuu katika mfululizo miwili maarufu ya Kanada iliyokuwa ikiendelea kwa wakati mmoja, sitcom Corner Gas (2004–09) na tamthilia ya vichekesho Robson Arms (2005–08).

Marejeo

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabrielle Miller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 15 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article