factograf
SW
Sign in

Bambi

Bambi

Key facts

Tarehe ya Kuchapishwa21 Agosti 1942
Mwandaaji wa MaudhuiDavid Hand
mtumbuizajiDonald Novis
All data from the card 11
Imeongozwa na
David Dodd Hand
Imetayarishwa na
Walt Disney
Imetungwa na
Larry MoreyPerce PearceGustaf Tenggren
Nyota
Bobby StewartDonnie DunaganHardie AlbrightJohn SutherlandPaula WinslowePeter BehnTim DavisSam EdwardsWill WrightCammie KingAnn GillisFred ShieldsStan AlexanderSterling Holloway
Imesambazwa na
RKO Radio Pictures
Ina muda wa dk.
Dakika 70
Lugha
Kiingereza
Bajeti ya filamu
dola 858,000
Mapato yote ya filamu
dola milioni 267.4
Ilitanguliwa na
Dumbo
Ikafuatiwa na
Saludos Amigos

Makala hii inahusu filamu ya Walt Disney. Kwa kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (Unguja Kati).

Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na RKO Radio Pictures. Hii ni ya tano kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.

Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.

Washiriki

  • Bobby Stewart kama Bambi
  • Donnie Dunagan kama Young Bambi
  • Hardie Albright kama Adolescent Bambi
  • John Sutherland kama Adult Bambi
  • Paula Winslowe kama mama Bambi na Pheasant
  • Peter Behn kama Young Thumper
  • Tim Davis kama Adolescent Thumper na Adolescent Flower
  • Sam Edwards kama Adult Thumper
  • Stan Alexander kama Young Flower
  • Sterling Holloway kama Adult Flower
  • Will Wright kama Rafiki Owl
  • Cammie King kama Young Faline
  • Ann Gillis kama Adult Faline
  • Fred Shields kama Great Prince ya Forest
  • Margaret Lee kama Miss Rabbit

Viungo vya nje

Read next

In 106 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article