factograf
SW
Sign in

Ziwa Chilwa

Ziwa Chilwa

Key facts

ni mfano waziwa
NchiMalawi
ipo katika eneo la kiutawalaWilaya ya Zomba
All data from the card 8
Mahali
Wilaya ya Zomba
Anwani ya kijiografia
15°18′S 35°42′E / 15.300°S 35.700°E
Mito ya kuingia
Naisi, Thondwe, Phalombe, Songani, Domasi
Mito ya kutoka
(hakuna)
Nchi za beseni
Malawi
Urefu
km 60
Upana
km 40
Visiwa
Chisi

Ziwa Chilwa ni ziwa la pili kwa ukubwa nchini Malawi, baada ya Ziwa Nyasa. Liko kwenye wilaya ya Zomba, karibu na mpaka wa Msumbiji.

Urefu wake ni km 60, upana ni km 40. Katikati ya ziwa hilo kuna kisiwa kiitwacho Chisi. Hakuna mto unaotoka katika ziwa.

Wakazi wa vijiji 335 karibu na Ziwa Chilwa huvua samaki hapa; zao lote ni takriban tani 17,000 kwa mwaka.

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Chilwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 42 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article