factograf
SW

Vince McMahon

Vince McMahon

Key facts

tarehe ya kuzaliwa24 Agosti 1945
Urefu185cm
kaziUjasiriamali
mwenziLinda McMahon
Nafasi ilioshikiliwaMkurugenzi
Mwanachama wa chama cha siasaChama cha Jamhuri cha Marekani

Vincent Kennedy McMahon (Alizaliwa Agosti 24, 1945) ni mfanyabiashara na mpiganaji wa zamani wa mieleka ya kulipwa nchini Marekani. McMahon ni mwanzilishi mwenza wa WWE ya kisasa, shirika kubwa zaidi la mieleka ya kulipwa duniani. Nje ya mieleka ya kulipwa, McMahon mara kwa mara alijihusisha na kuendeleza michezo mingine; miradi yake ilijumuisha World Bodybuilding Federation na XFL. Yeye ni mmiliki wa Alpha Entertainment.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vince McMahon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 52 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article