factograf
SW
Sign in

jiji katika Italia

Trieste

Trieste

Key facts

idadi ya watu198,417
ni mfano wajiji
NchiItalia
lugha rasmiKiitalia
All data from the card 4
Nchi
Italia
Mkoa
Friuli-Venezia Giulia
Wilaya
Trieste
- Wakazi kwa ujumla
203,374


Trieste ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Friuli-Venezia Giulia katika Italia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 205,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 2 juu ya usawa wa bahari.

Picha

Ngome Miramare
Ngome Miramare
Mfereji
Mfereji
Makuu San Giusto
Makuu San Giusto
Mtazamo
Mtazamo
4 images

Viungo vya nje

  • (Kiitalia) Tovuti rasmi
  • (Kiitalia) Trieste - Picha Guide (Pdf) Ilihifadhiwa 20 Aprili 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trieste kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 117 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article