factograf
SW

Tours

Tours

Key facts

idadi ya watu139,259
NchiUfaransa
ipo katika eneo la kiutawalaIndre-et-Loire
All data from the card 4
Nchi
Ufaransa
Mkoa
Centre
Wilaya
Indre-et-Loire
- Wakazi kwa ujumla
136,942

Tours ni mji wa Ufaransa ya kati mwenye wakazi 137,000. Uko kando la mto Loire.

Mji unajulikana kihistoria kutokana na askofu Martin wa Tours (mnamo 370) anayekumbukwa kama mtakatifu katika kanisa katoliki.

Mwaka 732 mfalme wa Wafranki Karolo Martell alishinda jeshi la Waarabu katika mapigano ya Tours na Poitiers na kuzuia uenezaji wa Uislamu katika Ulaya ya Magharibi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tours kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 104 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article