factograf
SW

The Velvet Underground

The Velvet Underground
All data from the card 3
Asili yake
New York City
Aina ya muziki
Rock
Miaka ya kazi
1965-1973, 1990, 1992-1994, 1996, 2009

The Velvet Underground lilikuwa kundi la muziki wa rock lililoanzisha huko mjini New York City, Marekani. Kwanza lilifanyakazi kuanzia 1964 hadi 1973, wanachama wake maarufu katika bendi hii ni pamoja na Lou Reed na John Cale, ambao wote wawili walikwenda kuwa wasanii wa kujitegemea wenye mafanikio zaidi.

Japokuwa waliambulia mafanikio madogo waliopata wakiwa pamoja, bendi hii hutajwa sana na wataalamu wa kutahakiki muziki ikiwa kama miongoni mwa makundi muhimu na maarufu ya miaka ya 1960.

Diskografia

  • The Velvet Underground & Nico (1967)
  • White Light/White Heat (1968)
  • The Velvet Underground (1969)
  • Loaded (1970)
  • Live at Max's Kansas City (recorded 1970, released 1972)
  • Squeeze (1973)
  • 1969: The Velvet Underground Live (double album, recorded live 1969, released 1974)
  • VU (recorded 1969, released 1985)
  • Another View (recorded 1967-69, released 1986)

Read next

In 69 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article