Ronald Steven Lauder (Alizaliwa Februari 26, 1944) ni mfanyabiashara nchini Marekani. Yeye ndiye mrithi pekee wa Estée Lauder Companies, iliyoanzishwa na wazazi wake Estée Lauder na Joseph Lauder mwaka 1946, baada ya kifo cha kaka yake Leonard Lauder mwaka 2025.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronald Lauder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
.jpg?width=1280)