factograf
SW
Sign in

Reiko Aylesworth

All data from the card 2
Amezaliwa
Reiko Aylesworth 9 Desemba 1972 Evanston, Illinois, Marekani
Miaka ya kazi
1993–Hadi leo

Reiko Aylesworth (alizaliwa Evanston, Illinois, 9 Desemba 1972) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Marekani.

Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.

Filamu alizoigiza

Mwaka Jiana la Filamu Jina Aliotumia
1996 Childhood's End Laurie Cannon
1998 You've Got Mail Thanksgiving Guest
1999 Random Hearts Mary Claire Clark
Man on the Moon Mimi
2000 No Deposit, No Return Sue
2005 Shooting Vegetarians Daisy
Crazylove Letty Mayer
2007 The Killing Floor Audrey Levine
Mr. Brooks Sheila
Aliens vs. Predator: Requiem Kelly O'Brien
2008 The Understudy Chief Kinsky
The Assistants Cassie Levine
2012 Buzzkill Sara
Bad Parents Laurie
2017 Oh Lucy! Kei
2019 Rapid Eye Movement Charlene Johnson
2020 Dark Harbor Regina Newhall

Viungo vya nje

  • Reiko Aylesworth at the Internet Movie Database
  • Reiko Aylesworth katika All Movie Guide
  • BBC Drama Faces - Reiko Aylesworth
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reiko Aylesworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 26 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article