factograf
SW
Sign in

Pirmini

Pirmini

Key facts

tarehe ya kuzaliwa670
tarehe ya kifo3 Novemba 753
utaratibu wa kidiniWabenedikto
Mahali alipofarikiHornbach
Nafasi ilioshikiliwaAbati

Pirmini (pia: Pirminius, Pirminio, Pirmino, Pirmi; labda Hispania, 670 hivi - Hornbach, leo nchini Ujerumani, 3 Novemba 753) alikuwa mmonaki, halafu abati na askofu, tena mmisionari katika maeneo mbalimbali ya Ulaya Kaskazini, alipoanzisha monasteri nyingi.

Aliandika pia kitabu cha katekesi "Scarapsus (=Excarpsus) de singulis libris canonicalis" (710-724) kwa ajili ya wasiojua kitu.

Tangu kale ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 3 Novemba.

Tazama pia

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Read next

In 16 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article