factograf
SW

Pedofilia

Pedofilia

Pedofilia (pia: pedofaili, pedofili; kutoka Kiingereza: pedophilia au paedophilia) ni matamanio binafsi ya ngono ya mtu mzima au kijana mkubwa yanayoelekea hasa watoto wasiofikia bado umri wa ubalehe.

Hadi leo linahesabika kati ya maradhi ya nafsi lakini utekelezaji wake unaadhibiwa na sheria za nchi zote kama kosa la jinai kutokana na madhara makubwa kwa watoto hao wanaoathirika kisaikolojia, kama si upande wa afya ya mwili, hata maisha yao yote.

Tabia hiyo inazidi kuenea kwa watu wasio na ugonjwa wa namna hiyo, ila wanajiingiza kwa hiari kuhusiana na ponografia pia.

Marejeo

  • Gladwell, Malcolm (2012-09-17). "In Plain View". The New Yorker.
  • Philby, Charlotte (2009-08-08). "Female sexual abuse: The untold story of society's last taboo". The Independent.
  • Bleyer, Jennifer (2012-09-24). "How Can We Stop Pedophiles? Stop treating them like monsters". Slate. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-12-03.
  • Fong, Diana (2013-05-29). Isenson, Nancy (mhr.). "If I'm attracted to children, I must be a monster". Die Welt.

Viungo vya nje

  • Understanding MRI research on pedophilia at the Wayback Machine (archived 2011-05-26)
  • Indictment from Operation Delego at the Wayback Machine (archived 2014-03-27)
  • Virtuous Pedophiles, online support for non-offending pedophiles working to remain offence-free
  • HelpWantedPrevention.org, an online self-help course from Johns Hopkins University for managing attraction to children
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pedofilia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 84 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article