factograf
SW
Sign in

Paul Walker

Paul Walker

Key facts

tarehe ya kuzaliwa12 Septemba 1973
tarehe ya kifo30 Novemba 2013
kaziMtayarishaji wa filamu
mahali alipozaliwaGlendale
Urefu1.88m
All data from the card 2
Amezaliwa
12 Septemba 1973
Ametoweka
30 Novemba 2013

Paul Walker (12 Septemba 1973 - 30 Novemba 2013) alikuwa mwigizaji filamu na mshindanishaji magari wa kimataifa kutoka Marekani. Paul ameshiriki katika filamu na michezo ya television zaidi ya ishirini katika uhusika tofauti, lakini hasa filamu ya fast and furious iliyompatia umaarufu mkubwa duniani. Ushiriki wake katika filamu ya fast and furious umepelekea kupendekezwa na kushinda kwake tuzo kadhaa za uigizaji.

Paul Walker alifariki kwa ajali ya gari.

Marejeo

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 94 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article