factograf
SW

Papa Romanus

Papa Romanus

Key facts

tarehe ya kifoNovemba 897
Mahali alipofarikiRoma
Nafasi ilioshikiliwaPapa

Papa Romanus alikuwa Papa kuanzia Julai/Agosti hadi Novemba 897. Alitokea Gallese, Lazio, Italia.

Alimfuata Papa Stefano VI. Baada ya miezi michache tu aliondoshwa madarakani akafuatwa na Papa Theodor II.

Tarehe kamili ya kufariki kwake haijulikani.

Maandishi yake

Viungo vya nje

  • Papa Romanus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Romanus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Read next

In 70 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article