Papa Eusebius alikuwa Papa kwa miezi minne tu, kuanzia tarehe 18 Aprili 309 hadi tarehe 17 Agosti 309. Alitokea Ugiriki.
Alimfuata Papa Marcellus I akafuatwa na Papa Miltiades.
Shahidi shujaa wa imani, ilipotokea fujo miongoni mwa Wakristo wa mji wa Roma kuhusu malipizi ya kufanywa na waliowahi kuasi, Eusebius alifungwa na Kaisari Maxentius akafariki mapema uhamishoni katika kisiwa cha Sicilia.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
- Orodha ya Mapapa
- Mababu wa Kanisa
Viungo vya nje
- Kuhusu Papa Eusebius katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eusebius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
