factograf
SW

Papa wa Kanisa Katoliki kuanzia 1294 hadi 1303

Papa Boniface VIII

Papa Boniface VIII

Key facts

tarehe ya kuzaliwa23 Januari 1235
tarehe ya kifo11 Oktoba 1303
mahali alipozaliwaAnagni
Mahali alipofarikiRoma
Nafasi ilioshikiliwaPapa

Papa Boniface VIII (takriban 1235 – 11 Oktoba 1303) alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba 1294/23 Januari 1295 hadi kifo chake. Alitokea Anagni, Italia.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Benedetto Caetani.

Alimfuata Papa Selestini V akafuatwa na Papa Benedikto XI.

Ndiye aliyeanzisha jubilei katika Kanisa Katoliki (1300).

Viungo vya nje

  • Kuhusu Papa Boniface VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Read next

In 74 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article