| Domeni: | Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini) |
| Himaya: | Animalia (Wanyama) |
| Faila: | Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) |
| Ngeli: | Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao) |
| Oda: | Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu) |
| Nusuoda: | Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima) |
| Oda ya chini: | Simiiformes (Wanyama kama kima) |
| Familia ya juu: | Cercopithecoidea |
| Familia: | Cercopithecidae (Wanyama walio na mnasaba na kima) |
| Nusufamilia: | Cercopithecinae (Wanyama wanaofanana na kima) |
| Kabila: | Papionini (Wanyama wanaofanana na nyani) |
Nyani
Nyani wa kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Ngazi za chini
Jenasi 3 za nyani:
- Mandrillus Ritgen, 1824
- Papio Erxleben, 1777
- Theropithecus I. Geoffroy, 1843
Nyani ni wanyama wa jenasi Papio, Theropithecus na Mandrillus katika familia Cercopithecidae. Jina la “nyani” hutumika pia kumaanisha spishi kubwa zote za Catarrhini (kima wa Dunia ya Kale) pamoja na masokwe. Nyani wa kabila Papionini wanatokea Afrika lakini nyani koti anatokea Uarabuni pia.
Spishi
- Mandrillus leucophaeus, Nyani Dirili (Drill)
- Mandrillus sphinx, Nyani Mandirili (Mandrill)
- Papio anubis, Nyani wa Kawaida (Olive Baboon)
- Papio cynocephalus, Nyani Mashariki au Nyani Manjano (Yellow Baboon)
- Papio hamadryas, Nyani Koti (Hamadryas Baboon)
- Papio papio, Nyani Magharibi au Nyani Mwekundu (Guinea Baboon)
- Papio ursinus, Nyani Kusi (Chacma Baboon)
- Theropithecus gelada, Nyani Gelada (Gelada)
Picha







10 images
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
