factograf
SW

Nintendo

Nintendo

Key facts

kuanzishwa23 Septemba 1889
ni mfano waShirika la umma
NchiJapani
Nembo ya Nintendo
Nembo ya Nintendo

Nintendo (kwa Kijapani: 任天堂) ni kampuni inayotengeneza michezo ya video na vitu vya kujifariji au kujiliwaza. Ilianza kwa kuunda kadi za kuchezea na vichezeo. Ofisi kuu ni Kyoto, Japan. Pia ina ofisi katika mabara mengine.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nintendo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 124 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article