factograf
SW

N'Djamena

N'Djamena

Key facts

idadi ya watu1,092,066
kuanzishwa29 Mei 1900
ni mfano wajiji
NchiChad
ipo katika eneo la kiutawalaChad
All data from the card 2
Nchi
Chad
- Wakazi kwa ujumla
1,093,492

Ndjamena ni mji mkuu pia mji mkubwa kabisa nchini Chad ikiwa na wakazi 1,093,492 mnamo mwaka 2013.

Ndani ya manisipaa kuna hara au mitaa kumi.

Jina

Zamani mji ulijulikana kwa jina la "Fort Lamy". Tangu mwaka 1973 jina limekuwa Ndjamena, N'Djaména, N'Djamena au Ndjaména.

Jiografia

Mji wa Ndjamena uko mahali ambako mito ya Chari na Logone inaungana. Ng'ambo ya mto uko mji wa Kousseri nchini Kamerun.

Historia

Ndjamena ilianzishwa na Mfaransa Émile Gentil tarehe 29 Mei 1900 kama kambi ya kijeshi ikiitwa Fort-Lamy kama kumbukumbu ya kamanda Amédée-François Lamy aliyeuawa vitani kwenye mapigano ya Kousseri siku chache kabla ya kuanzishwa kwa Fort Lamy.

Jina lilibadilishwa na rais François Tombalbaye kuwa Ndjamena mwaka 1973. Wakati wa vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Chad 1979 / 1980 mji uliharibika na wakazi wengi waliondoka mjini lakini katika miaka ya baadaye wengine wengi waliingia.

Wakazi

Mji ulikua sana na haraka. Huduma za maji, umeme na makao havitoshi tena.

Mwaka * Idadi ya Wakazi

Makabila na vikundi mjini mwaka 1993:

  • Waarabu wa Chad: 11,08 %
  • Ngambay: 16,41 %
  • Hadjeray: 9,15 %
  • Daza: 6,97 %
  • Bilala: 5,83 %
  • Kanembou: 5,80 %
  • Maba: 4,84 %
  • Kanouri: 4,39 %
  • Gor: 3,32 %
  • Kouka: 3,20 %
  • Sar: 2,24 %
  • Barma: 2,10 %

Elimu

Ndjamena ina vyuo na shule mbalimbali kama vile.

Shule za Sekondari (Lycée):

  • Lycée Félix Éboué (ya serikali)
  • Lycée technique commercial (ya seriali)
  • Lycée du Sacré-Cœur (binafsi - kikatoliki)
  • Lycée-Collège évangélique (binafsi kiprotestant)
  • Lycée Ibnou - Cinna (Kifaransa - Kiarabu)
  • Lycée Roi Faycal (Kiarabu)
  • Lycée Koweitien (Kiarabu)
  • Lycée d'Amérigue (ya serikali)
  • Lycée de Farcha (ya serikali)
  • Lycée Technique Industrielle
  • Lycée du Pont de Chagoua
  • Lycée de Waliya
  • Lycée de La Liberté
  • Lycée de la Gendarmerie, etc.

Vyuo Vikuu (Université):

  • Université de Ndjamena (ya serikali)
créée en 1970
  • Université Roi Fayçal (binafsi - kiislamu)

Taasisi za elimu ya juu (École Supérieure):

  • ISSED - Institut Supérieur des Sciences de l'Éducation
  • ENAM - École Nationale d'Administration et de Magistrature
  • EIE - École Supérieure d'Électronique et d'Informatique
  • ENASS - École Nationale des Sciences Infirmières et Sociales
  • INJS - Institut Supérieur de la Jeunesse et des Sports
  • ENS - École Normale Supérieure
  • ENTP - École Nationale des Travaux Publics
  • ISTAP - Institut Supérieur des Techniques Appliquées

Read next

In 147 languages

swAfrikaansአማርኛaragonésالعربيةمصرىasturianuKotavaazərbaycancaتۆرکجهбашҡортсаBasa BaliBikol Centralбеларуская (тарашкевіца)беларускаябългарскиবাংলাབོད་ཡིགbrezhonegbosanskicatalà閩東語 / Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄нохчийнCebuanoکوردیčeštinaCymraegdanskDeutschDagaareΕλληνικάEnglishEsperantoespañoleestieuskaraestremeñuفارسیsuomifrançaisarpetanNordfriiskFryskGaeilgeGàidhliggalegoAvañe'ẽHausa客家語 / Hak-kâ-ngîעבריתहिन्दीFiji HindihrvatskihornjoserbsceKreyòl ayisyenmagyarհայերենinterlinguaBahasa IndonesiaInterlingueIdoíslenskaitaliano日本語JawaქართულიTaqbaylitKabɩyɛKongoKumoringGĩkũyũқазақшаYerwa Kanuri한국어kurdîkernowekкыргызчаLatinaLëtzebuergeschLigurelombardlingálalietuviųlatviešuмокшеньMalagasyMinangkabauмакедонскиമലയാളംमराठीкырык марыBahasa MelayuمازِرونیNederlandsnorsk nynorsknorskDiné bizaadoccitanlivvinkarjalaиронਪੰਜਾਬੀPapiamentupolskiPiemontèisپنجابیپښتوportuguêsRuna SimiromânăрусскийsardusicilianuScotsسنڌيsrpskohrvatski / српскохрватскиSimple EnglishslovenčinaslovenščinaanarâškielâchiShonaSoomaaligashqipсрпски / srpskisvenskaślůnskiதமிழ்тоҷикӣไทยTagalogtolışiTürkçeудмуртукраїнськаاردوoʻzbekcha / ўзбекчаvènetovepsän kel’Tiếng ViệtWinarayWolof吴语მარგალურიייִדישYorùbá閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article