factograf
SW

Mto Oder

Mto Oder

Key facts

ni mfano wamto
NchiPoland
ipo katika eneo la kiutawalaBrandenburg
Beseni ya mto Oder - Odra
Beseni ya mto Oder - Odra

Mto Oder (kwa Kicheki na Kipoland: Odra) ni mto wa Ulaya ya Kati.

Chanzo chake kipo katika Jamhuri ya Kicheki, inapita katika Silesia (Polandi) hadi kuwa mpaka baina ya Ujerumani na Polandi. Kilomita chache kabla ya kuishia katika Bahari Baltiki unaingia tena ndani ya Polandi ukipita mjini Stettin - Szczecin hadi kufika baharini.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Oder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 101 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article