factograf
SW

Mkonge

Mkonge
Himaya: Plantae (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
Oda: Asparagales (Mimea kama mwinikanguu)
Familia: Asparagaceae (Mimea iliyo mnasaba na mwinikanguu)
Jenasi: Sansevieria (Mikonge)
Thunb.

Mkonge Mkonge wa Fischer (Sansevieria fischeri)

Mkonge wa Fischer (Sansevieria fischeri)
Uainishaji wa kisayansi Ngazi za chini

Spishi nyingi; katika Afrika ya Mashariki:

  • S. conspicua N.E.Br.
  • S. ehrenbergii Schweinf. ex. Baker
  • S. fischeri (Baker) Marais
  • S. nitida Chahin.
  • S. perrotii Warb.
  • S. powellii N.E.Br.
  • S. raffillii N.E.Br.
  • S. volkensii Gürke

Mikonge ni mimea ya jenasi Sansevieria katika familia Asparagaceae. Majani yao huitwa makonge. Jina hili limesilikiwa kwa Agave sisalana (mkonge dume unaolimwa kwa uzalishaji wa katani) na spishi nyingine za jenasi Agave (mkonge-pori).

Spishi za Afrika ya Mashariki

  • Sansevieria conspicua, Mkonge (Sansevieria conspicua)
  • Sansevieria ehrenbergii, Mkonge Masai (East African wild sisal)
  • Sansevieria fischeri, Mkonge wa Fischer (Fischer's sansevieria)
  • Sansevieria nitida, Mkonge (Sansevieria nitida)
  • Sansevieria perrotii]], Mkonge wa Perrot (Perrot's sansevieria)
  • Sansevieria powellii, Mkonge wa Powell (Powell's sansevieria)
  • Sansevieria raffillii, Mkonge wa Raffilli (Raffilli's sansevieria)
  • Sansevieria volkensii, Mkonge wa Volkens (Volkens's sansevieria)

Picha

Mkonge Masai
Mkonge Masai
Mkonge wa Perrot
Mkonge wa Perrot
Mkonge wa Raffilli
Mkonge wa Raffilli
3 images
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkonge kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 45 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article