Matthew Richard Stone (anayejulikana kama Matt Stone; alizaliwa Mei 26, 1971) ni mwigizaji, mhuishaji, mwandishi, mtayarishaji, na mtunzi wa nyimbo nchini Marekani. Anajulikana zaidi kwa kuunda pamoja kipindi cha televisheni cha katuni South Park (tangu 1997) na The Book of Mormon (2011) pamoja na mshirika wake Trey Parker.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matt Stone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
.jpg?width=1280)