factograf
SW

Mwanafizikia na mkemia wa Kipolishi mwenye uraia wa Kifaransa (1867-1934)

Marie Curie

Marie Curie

Key facts

tarehe ya kuzaliwa7 Novemba 1867
tarehe ya kifo4 Julai 1934
kaziMwanakemia
mwenziPierre Curie
mwajiriUniversité de Paris
Nafasi ilioshikiliwaProfesa

Maria Curie (jina kamili: Maria Salomea Skłodowska-Curie; 7 Novemba 1867 – 4 Julai 1934) alikuwa mwanafizikia na mwanakemia Mpolandi na Mfaransa aliyepata Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka 1903 na Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka 1911. Marie Curie ni binadamu pekee aliyepokea tuzo ya Nobel kwa sayansi mbili tofauti.

Maisha

Alizaliwa Polandi kama Maria Skłodowska wakati nchi hiyo ilipokuwa chini ya Urusi. Wakati ule hapakuwa na nafasi kwa wanawake kusoma kwenye chuo kikuu nchini, hivyo akahamia Ufaransa mwaka 1891 akajiandikisha katika somo la fizikia akaendelea baadaye kuchukua digrii ya hisabati.

Mwaka 1895 akaolewa na mwanasayansi Mfaransa Pierre Curie. Pamoja naye alifanya utafiti wa unururifu akatambua elementi za poloni na radi.

Baadaye alikuwa profesa wa kike wa kwanza katika chuo kikuu cha Sorbonne mjini Paris.

Alikufa kutokana na kansa ya damu (lukemia) kwa sababu maishani mwake alishika dutu nururifu nyingi bila ya tahadhari wakati hatari za unururifu hazijajulikana.

Viungo vya nje

  • 1903 Nobel Prize in Physics Ilihifadhiwa 28 Julai 2005 kwenye Wayback Machine. and 1911 Nobel Prize in Chemistry Ilihifadhiwa 10 Agosti 2005 kwenye Wayback Machine. – Tovuti ya kamati ya Tuzo ya Nobel kwa Kiingereza
  • Wasifu wa Curie
  • The official web page of Maria Curie Skłodowska University in Lublin, Polandi Ilihifadhiwa 13 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine. (Kiingereza)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marie Curie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 198 languages

swAfrikaansAlemannischалтай тилአማርኛaragonésOboloالعربيةالدارجةمصرىঅসমীয়াasturianuAymar aruazərbaycancaتۆرکجهбашҡортсаBasa BaliBoarischžemaitėškaBikol Centralбеларуская (тарашкевіца)беларускаяBetawiбългарскиभोजपुरीBislamaবাংলাbrezhonegbosanskiBatak MandailingбуряадcatalàнохчийнCebuanoکوردیqırımtatarcačeštinakaszëbscziчӑвашлаCymraegdanskDeutschZazakiKadazandusunडोटेलीΕλληνικάEnglishEsperantoespañoleestieuskaraestremeñuفارسیsuomiføroysktfɔ̀ngbèfrançaisNordfriiskfurlanFryskGaeilge贛語kriyòl gwiyannenGàidhliggalegoAvañe'ẽGhanaian PidginગુજરાતીHausa客家語 / Hak-kâ-ngîעבריתहिन्दीFiji HindihrvatskiKreyòl ayisyenmagyarհայերենԱրեւմտահայերէնinterlinguaJaku IbanBahasa IndonesiaIlokanoIdoíslenskamedžuslovjanskyitaliano日本語Patoisla .lojban.JawaქართულიQaraqalpaqshaTaqbaylitKabɩyɛқазақшаភាសាខ្មែរಕನ್ನಡYerwa Kanuri한국어کٲشُرkurdîkernowekкыргызчаLatinaLadinoLëtzebuergeschLimburgsLigurelombardລາວlietuviųlatviešuMadhurâमैथिलीBasa BanyumasanMalagasyMinangkabauмакедонскиമലയാളംмонголꯃꯤꯇꯩ ꯂꯣꯟဘာသာမန်मराठीBahasa MelayuMaltiမြန်မာဘာသာمازِرونیNāhuatlNedersaksiesPlattdüütschनेपालीनेपाल भाषाNederlandsnorsk nynorsknorskoccitanlivvinkarjalaOromooଓଡ଼ିଆਪੰਜਾਬੀKapampanganPicardpolskiPiemontèisپنجابیNawatپښتوportuguêsRuna Simiromânăarmãneashtiрусскийрусиньскыйसंस्कृतम्саха тылаᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤsicilianuScotsسنڌيsrpskohrvatski / српскохрватскиසිංහලSimple Englishslovenčinaslovenščinaanarâškielâshqipсрпски / srpskiSundasvenskaதமிழ்ತುಳುతెలుగుтоҷикӣไทยTagalogtolışiSetswanatoki ponaTürkçeтатарча / tatarçaтыва дылудмуртукраїнськаاردوoʻzbekcha / ўзбекчаvepsän kel’Tiếng ViệtVolapükWinaray吴语მარგალურიייִדישYorùbáZeêuws文言閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article