factograf
SW
Sign in

Manicaland

Manicaland

Key facts

ni mfano waMikoa ya Zimbabwe
NchiZimbabwe
mji mkuuMutare
ipo katika eneo la kiutawalaZimbabwe
ipo katika ukanda wa saaUTC+02:00

Manicaland ni mkoa wa Zimbabwe upande wa mashariki wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 36,459 na wakazi 2,038,000 (2022).

Makao makuu yako Mutare.

Tanbihi

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manicaland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 46 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article