| Himaya: | Plantae (Mimea) |
| (bila tabaka): | Angiospermae (Mimea inayotoa maua) |
| (bila tabaka): | Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja) |
| (bila tabaka): | Commelinids (Mimea kama jaja) |
| Oda: | Poales (Mimea kama manyasi) |
| Familia: | Poaceae (Manyasi) |
| Nusufamilia: | Chloridoideae |
| Jenasi: | Cynodon |
Lugowi
Lugowi wa kawaida (Cynodon dactylon)
Uainishaji wa kisayansi
Ngazi za chini
Spishi 9:
- C. aethiopicus Clayton & J.R. Harlan
- C. barberi Rang. & Tadul.
- C. coursii
- C. dactylon (L.) Pers.
- C. incompletus Nees
- C. nlemfuensis Vanderyst
- C. plectostachyus K.Schum.) Pilg.
- C. radiatus Roth
- C. transvaalensis Burtt Davy
Lugowi (Cynodon spp.) (au ukoka) ni jina la spishi za nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Masuke kadhaa yanamea juu ya ubua kwa umbo wa vidole vya mkono.
Lugowi wa kawaidi unatoka Mashariki ya Kati kwa asili, lakini siku hizi hupandwa sana katika maeneo ya hewa ya joto. Spishi nyingine sita zinatokea Afrika kwa asili.
Spishi
- Cynodon aethiopicus, Lugowi wa Nakuru
- Cynodon barberi
- Cynodon coursii
- Cynodon dactylon, Lugowi wa Kawaida
- Cynodon incompletus
- Cynodon nlemfuensis, Lugowi wa Afrika au wa Muguga
- Cynodon plectostachyus, Lugowi Mkubwa au wa Naivasha
- Cynodon radiatus
- Cynodon transvaalensis, Lugowi Kusi
Picha



3 images
