
Limoges ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Limousin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 690-1410 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Makazi ya Kijamii
Jengo lenye umbo la S katika eneo la Val de l'Aurence, lililojengwa katika miaka ya 1960, litabomolewa Septemba 2025, na kuathiri zaidi ya nyumba 300.
Viungo vya nje
- (Kifaransa) City council website Ilihifadhiwa 20 Februari 2011 kwenye Wayback Machine.
- (Kifaransa) Adrien Dubouché Museum website - ceramics, glassware, porcelain from Limoges
- (Kifaransa) Limoges university website
- (Kifaransa) History and Geography (Academy of Limoges, institutional website) Ilihifadhiwa 22 Februari 2012 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Limoges kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
