factograf
SW

Klementi wa Ohrid

Klementi wa Ohrid

Key facts

tarehe ya kuzaliwa840
tarehe ya kifo27 Julai 916
kaziMmisionari, Askofu mkuu
mahali alipozaliwaUfalme wa Byzanti
Nafasi ilioshikiliwaAskofu

Klementi wa Ohrid (pia: Kliment, Klemes; 830/840 - Ohrid, leo nchini Masedonia Kaskazini, Julai 916) alikuwa msomi, mfuasi maarufu zaidi wa Sirili na Methodi, wamisionari wa Waslavi. Alifanywa askofu akainjilisha Wabulgaria.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai.

Tazama pia

Marejeo

  • Gautier, Paul (1964). "Clément d'Ohrid, évèque de Dragvista". Revue des études byzantines. 22: 199–214.
  • Iliev, Ilia G. (1995). "The Long Life of Saint Clement of Ohrid: A Critical Edition" (PDF). Byzantinobulgarica. 9: 62–120.
  • Ivanič, Peter (2018). "The Issue of the Origin of Saint Clement of Ohrid and Saint Naum of Ohrid in Slovak and Czech Historiography" (PDF). European Journal of Science and Theology. 14 (1): 135–144. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2023-06-28. {{cite journal}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
  • Мучай, Скендер; Джуери, Суеля; Ристани, Ирклид; Пентковский, Алексей М. (2014). "Средневековые церкви в долине Шушицы (Южная Албания) и славянская епископия свт. Климента Охридского" [Medieval Churches in Shushica Valley (South Albania) and the Slavonic Bishopric of St. Clement of Ohrid] (PDF). Slověne: International Journal of Slavic Studies. 3 (1): 5–42. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2023-06-28. {{cite journal}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)
  • Popović, Mihailo St. (2016). "Saint Clement of Ohrid: His Life and Aftermath Between Sofia and Skopje". Споменица др Тибора Живковића. Београд: Историјски институт. ku. 77–90.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Read next

In 42 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article