factograf
SW

Kiobolo

KiObolo (pia KiAndoni) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waobolo. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa KiObolo imehesabiwa kuwa watu 318,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, KiObolo iko katika kundi la Cross River.

Read next

In 19 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article