factograf
SW

Karpati

Karpati
Milima nchini Romania
Milima nchini Romania
Picha kutoka Sanok, Polandi
Picha kutoka Sanok, Polandi
Kežmarok, Slovakia
Kežmarok, Slovakia
Milima ya Tatra huko Zakopane, Polandi
Milima ya Tatra huko Zakopane, Polandi
Wahutsul, walioishi kwenye Karpati, 1872 hivi.
Wahutsul, walioishi kwenye Karpati, 1872 hivi.
5 images

Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1,000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia, (km 1,700).

Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki (3%) kupita Slovakia (17%), Polandi (10%), Hungaria (4%) na Ukraine (11%), hadi Romania (51%). Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Polandi, ambapo vilele vinazidi mita 2,600 juu ya usawa wa bahari.

Marejeo

  • Blazovich, László (1994). "Kárpátok [Carpathians]". Katika Kristó, Gyula; Engel, Pál; Makk, Ferenc (whr.). Korai magyar történeti lexikon (9-14. század) [Encyclopedia of the Early Hungarian History (9th-14th centuries)] (kwa Kihungaria). Akadémiai Kiadó. uk. 332. ISBN 963-05-6722-9. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
  • Buza, Mircea (2011). "On the origins and historical evolution of toponymy on the territory of Romania" (PDF). Revue Roumaine de Géographie / Romanian Journal of Geography. 55 (1). Institute of Geography, Romanian Academy: 23–36. ISSN 1220-5311. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-04-10. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015. {{cite journal}}: Invalid |ref=harv (help); Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Moldovanu, Dragoș (2010). "Toponimie de origine Romană în Transilvania și în sud-vestul Moldovei" (PDF). Anuar de Lingvistică şi Istorie Literară (kwa Kiromania). XLIX–L. Institute of Geography, Romanian Academy: 17–95. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2015. {{cite journal}}: Invalid |ref=harv (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Read next

In 113 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article