factograf
SW

politician kutoka Uswidi

Karl Hjalmar Branting

Karl Hjalmar Branting

Key facts

tarehe ya kuzaliwa23 Novemba 1860
tarehe ya kifo24 Februari 1925
kazipolitician, Mwanadiplomasia, mwanahabari
mwenziAnna Branting
Mwanachama wa chama cha siasaSocialdemokraterna
tuzo iliyopokelewaTuzo ya Nobel ya Amani

Karl Hjalmar Branting (23 Novemba 1860 – 24 Februari 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Kati ya miaka ya 1920 na 1925 alikuwa Waziri Mkuu wa Uswidi mara tatu. Mwaka wa 1921, pamoja na Christian Lous Lange alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Hjalmar Branting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 62 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article