Kakumiro ni mji katika mkoa wa Magharibi wa Uganda ambapo ni kituo kikuu cha manispaa kiutawala na kibiashara cha wilaya ya Kakumiro na makao makuu ya wilaya.
Mahali ilipo
Kakumiro ipo katika kaunti ndogo ya Bwanswa ambapo ni takriban kilomita 182 sawa na maili 113 umbali kutoka kaskazini magharibi mwa Kampala ambao ndio mji mkuu wa nchi hiyo. Kakumiro pia ipo takriban kilomita 80 sawa na maili 50 umbali kutokea kusini mwa Hoima mji mkubwa ulio karibu. ikiwa na majira nukta (0 ° 46'52.0 "N, 31 ° 19'23.0" E (Latitude: 0.781111; Longitude: 31.323056))..
