factograf
SW

Judo

Judo

Judo (jap. 柔道 jūdō) aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki. Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō. Mieleka inashindaniwa kimataifa leo na judo ndiyo aina inayoshindaniwa zaidi kimataifa ya mieleka jaketi.

Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani lakini kutumia nguvu ya mpinzani kw kumshinda.

Historia

Judo ilianzishwa kwenye msingi wa mchzo wa mapigano ya kale zaidi inayoitwa Jujutsu.

Jujutsu ilikuwa mchezo wa makabaila na askari wa Japani ya Kale iliyofundisha kumshinda mpinzani hadi kumwua. Kano aliondoa sehemu hatari akaunda Judo.

Read next

In 132 languages

swAfrikaansAlemannischaragonésالعربيةالدارجةمصرىঅসমীয়াasturianuअवधीazərbaycancaتۆرکجهбашҡортсаBoarischžemaitėškaбеларуская (тарашкевіца)беларускаябългарскиবাংলাབོད་ཡིགbrezhonegbosanskicatalàнохчийнᏣᎳᎩکوردیčeštinaCymraegdanskDeutschΕλληνικάEnglishEsperantoespañoleestieuskaraفارسیsuomifrançaisarpetanGaeilgeGàidhliggalegoAvañe'ẽગુજરાતીעבריתहिन्दीFiji HindihrvatskiKreyòl ayisyenmagyarհայերենinterlinguaBahasa IndonesiaIdoíslenskaitaliano日本語JawaქართულიQaraqalpaqshaқазақшаಕನ್ನಡ한국어кыргызчаLatinaLëtzebuergeschLingua Franca NovaLimburgsLigurelingálalietuviųlatviešuмокшеньMinangkabauмакедонскиമലയാളംмонголBahasa Melayuမြန်မာဘာသာPlattdüütschनेपालीनेपाल भाषाNederlandsnorsk nynorsknorskoccitanиронਪੰਜਾਬੀpolskiPiemontèisپنجابیپښتوportuguêsရခိုင်rumantschromânăрусскийрусиньскыйᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤsarduسنڌيsrpskohrvatski / српскохрватскиසිංහලSimple Englishslovenčinaslovenščinashqipсрпски / srpskisvenskaதமிழ்తెలుగుтоҷикӣไทยTürkmençeTagalogtolışitoki ponaTürkçeтатарча / tatarçaукраїнськаاردوoʻzbekcha / ўзбекчаTiếng ViệtwalonWinaray吴语მარგალურიייִדיש閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article