factograf
SW

Go-Hanazono

Go-Hanazono

Key facts

tarehe ya kuzaliwa10 Julai 1419
tarehe ya kifo18 Januari 1471
Nafasi ilioshikiliwaTenno

Go-Hanazono (19 Julai 1419 – 18 Januari 1471) alikuwa mfalme mkuu wa 102 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Hikohito. Tarehe 7 Septemba 1428 alimfuata Shoko, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 21 Agosti 1464. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Tsuchimikado.

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Hanazono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 30 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article