factograf
SW

George W. Bush

George W. Bush

Key facts

tarehe ya kuzaliwa6 Julai 1946
Urefu183cm
alisomaYale College
kazipolitician
mwenziLaura Bush
Mwanachama wa chama cha siasaChama cha Jamhuri cha Marekani
All data from the card 9
Makamu wa Rais
Dick Cheney
mtangulizi
Bill Clinton
aliyemfuata
Barack Obama
tarehe ya kuzaliwa
6 Julai 1946
utaifa
American
chama
Republican
ndoa
Laura Welch (m. 1977–present)
watoto
Barbara Bush (b. 1981)Jenna Bush
tovuti
http://www.georgewbush.com

George Walker Bush (, alizaliwa 6 Julai 1946) alikuwa rais wa Marekani tangu mwaka 2001 mpaka mwaka 2009. Yeye ni mwenyeji wa jimbo la Texas alipokuwa gavana kabla ya kugombea urais.

George W. Bush ni mwana wa rais George H. Bush aliyetawala Marekani kati ya miaka 1989 - 1993. George W. amemwoa Laura Bush wana mabinti mawili.

Maisha

George na Laura Bush pamoja na mabinti wao.
George na Laura Bush pamoja na mabinti wao.

Bush alizaliwa katika jimbo la Connecticut akafuata elimu yake hadi chuo kikuu cha Yale. Hakushiriki katika vita ya Vietnam lakini alijiandikisha kati ya wanamgambo wa jimbo la Texas.

Mwaka 2000 aligombea urais kwa chama cha Republican. Alishinda kufuatana na azimio la mahakama kuu kwa sababu kura ya jimbo la Florida haikueleweka vizuri na kwa jumla kura zake zilikuwa karibu sawa na zile za mpinzani wake Al Gore.

Mwaka 2004 Bush alirudishwa kama rais kwa awamu ya pili na ya mwisho.

Vipindi viwili vya Bush viliathiriwa sana na mashambulio ya 11 Septemba 2001. Baada ya shambulio hilo la Al Qaida Bush aliamuru vita dhidi ya Afghanistan ambako wagaidi wa Al Qaida walikuwa na kimbilio.

Mwaka uliofuata Bush aliuamua kwa sababu zisizoeleweka vema kushambulia pia Iraq ingawa Iraq haikushiriki katika mashambulio ya 11 Septemba wala kuwa na uhusiano na Al Qaida.

Mwanzoni Marekani pamoja namsaada wa Uingereza ilifaulu vema kushinda jeshi la Iraq na kumpindua dikteta Saddam Hussein. Lakini ushindi huu uligeukia kuwa vita ndefu ya wanamgambo wa Iraqi dhidi ya Marekani. Watu wengi waliendelea kufa na vita hii ya kuendelea iliharibu sifa za Bush.

Read next

In 216 languages

swAcèhAfrikaansAlemannischaragonésÆngliscअंगिकाالعربيةالدارجةمصرىasturianuअवधीAymar aruazərbaycancaتۆرکجهбашҡортсаBasa BaliBoarischžemaitėškaBikol Centralбеларуская (тарашкевіца)беларускаябългарскиBislamaBanjarbamanankanবাংলাবিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরীbrezhonegbosanskicatalàChavacano de Zamboanga閩東語 / Mìng-dĕ̤ng-ngṳ̄CebuanoᏣᎳᎩکوردیcorsuqırımtatarcačeštinaсловѣньскъ / ⰔⰎⰑⰂⰡⰐⰠⰔⰍⰟчӑвашлаCymraegdanskdagbanliDeutschZazakidolnoserbskiडोटेलीދިވެހިބަސްΕλληνικάemiliàn e rumagnòlEnglishEsperantoespañoleestieuskaraestremeñuفارسیFulfuldesuomivõroføroysktfrançaisarpetanNordfriiskfurlanFryskGaeilge贛語GàidhliggalegoAvañe'ẽगोंयची कोंकणी / Gõychi KonknniBahasa Hulontalo𐌲𐌿𐍄𐌹𐍃𐌺GaelgHausa客家語 / Hak-kâ-ngîHawaiʻiעבריתहिन्दीhrvatskihornjoserbsceKreyòl ayisyenmagyarհայերենinterlinguaBahasa IndonesiaInterlingueIlokanoIdoíslenskaitalianoᐃᓄᒃᑎᑐᑦ / inuktitut日本語Patoisla .lojban.JawaქართულიQaraqalpaqshaқазақшаភាសាខ្មែរಕನ್ನಡ한국어къарачай-малкъарکٲشُرRipoarischkurdîkernowekкыргызчаLatinaLëtzebuergeschлезгиLingua Franca NovaLimburgsLigurelombardlingálalietuviųlatgaļulatviešuMadhurâमैथिलीBasa BanyumasanMalagasyMāoriмакедонскиമലയാളംмонголमराठीBahasa MelayuMaltiမြန်မာဘာသာمازِرونیNāhuatlNapulitanoNedersaksiesPlattdüütschनेपालीनेपाल भाषाNederlandsnorsk nynorsknorskNouormandNupeChi-ChewaoccitanиронਪੰਜਾਬੀPangasinanKapampanganPicardDeitschPälzischpolskiPiemontèisپنجابیپښتوportuguêsRuna Simirumantschromani čhibromânăarmãneashtiрусскийрусиньскыйIkinyarwandaसंस्कृतम्саха тылаsicilianuScotsdavvisámegiellasrpskohrvatski / српскохрватскиසිංහලSimple EnglishslovenčinaslovenščinachiShonaSoomaaligashqipсрпски / srpskiSundasvenskaślůnskiதமிழ்తెలుగుтоҷикӣไทยTürkmençeTagalogtoki ponaTok PisinTürkçeтатарча / tatarçachiTumbukareo tahitiئۇيغۇرچە / Uyghurcheукраїнськаاردوoʻzbekcha / ўзбекчаvènetoTiếng ViệtWest-VlamsVolapükwalonWinaray吴语isiXhosaმარგალურიייִדישYorùbáZeêuws閩南語 / Bân-lâm-gí粵語中文isiZulu

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article