factograf
SW
Sign in

Gabriel Bach

Gabriel Bach

Key facts

tarehe ya kuzaliwa13 Machi 1927
tarehe ya kifo18 Februari 2022
alisomaUniversity College London
kaziHakimu, mwanasheria
mahali alipozaliwaHalberstadt
Mahali alipofarikiYerusalemu

Gabriel Bach (Kiebrania: גבריאל בך; 13 Machi 1927 – 18 Februari 2022) alikuwa mwanasheria mzaliwa wa Ujerumani aliyehamia Israel, ambaye alihudumu kama jaji wa Mahakama Kuu ya Israel. Pia alikuwa naibu mwendesha mashtaka katika kesi ya Adolf Eichmann.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gabriel Bach kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 10 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article