factograf
SW

Fresno, California

Fresno, California

Key facts

idadi ya watu542,107
kuanzishwa1872
NchiMarekani
mkuu wa serikaliJerry Dyer
All data from the card 4
Nchi
Marekani
Jimbo
California
Wilaya
Fresno
- Wakazi kwa ujumla
500,017

Fresno ni mji wa tano kwa ukubwa katika California. Eneo lake ni 271.4 km² kuna wakazi 500,017 (2007). Mji upo m 90 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Fresno ni kati ya California baina ya Los Angeles na San Francisco.

Mji uliundwa mwaka 1856. Jina la kwanza la mji lilikuwa Millerton.

Jina la Fresno ni ya Kihispania, maana yake ni mti wa ash.


Viungo vya Nje

  • (Kiingereza)Tovuti ya mji la Fresno


Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Fresno, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 110 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article