factograf
SW
Sign in

Finnmark

Finnmark

Key facts

idadi ya watu75,288
kuanzishwa1919
ni mfano waOrodha ya majimbo ya Norwei
NchiNorwei
mkuu wa serikaliRagnhild Vassvik Kalstad
ipo katika eneo la kiutawalaNorwei
Mahali pa Finnmark nchini Norwei
Mahali pa Finnmark nchini Norwei

Finnmark au Finnmárku (Sami ya Kaskazini) ni moja kati ya Majimbo ya Norwei ambalo lipo mno upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi ya Norwei. Kiinchi imepakana na mipaka ya jimbo la Troms kwa upande wa magharibi, Finland (Lapland) kwa upande wa kusini na Urusi (Murmansk Oblast) kwa upande wa mashariki, na kwa maji, ile Bahari ya Kinorwei (Bahari ya Atlantiki) ipo kwa upande wa kaskazini-magharibi, na Bahari ya Barents (Bahari ya Aktiki) ipo upande wa kaskazini na kaskazini-mashariki.

Awali jimbo lilikuwa likijulikana kama Finmarkens amt au Vardøhus amt, na tangu 2002, limepata kuwa na majina rasmi mawili: Finnmark (Kinorwei) na Finnmárku (Kisami). Ni moja ya sehemu ya kanda ya Sápmi, ambayo ina eneo la majimbo manne, vilevile Kanda ya Barents, na ni jimbo kubwa lenye wakazi wadogo humo nchini Norwei.

Lipo mjini Kaskazinisana mwa bara la Ulaya, ambapo Norwei inahemea upande wa mashariki, Finnmark daima imekuwa eneo ambapo mashariki yanakutana na magharibi, kiutamaduni na vilevile kiasili na kijiografia. Vardø, manispaa iliyopo mjini mashariki mwa jimbo, lipo mashariki ya mbali zaidi kuliko St. Petersburg na Istanbul.

Manispaa za jimboni hapa

Kwa sasa, kuna takriban manispaa 19 katika Finnmark.

Manispaa za Finnmark
Key
  1. Alta
  2. Berlevåg
  3. Båtsfjord
  4. Gamvik
  5. Hammerfest
  6. Hasvik
  7. Kárášjohka (Karasjok)
  8. Guovdageaidnu (Kautokeino)
  9. Kvalsund
  10. Lebesby
  11. Loppa
  12. Måsøy
  13. Unjárga (Nesseby)
  14. Nordkapp
  15. Porsángu (Porsanger - Porsanki)
  16. Sør-Varanger
  17. Deatnu (Tana)
  18. Vadsø
  19. Vardø

Viungo vya Nje

  • Stone age in FinnmarkIlihifadhiwa 14 Desemba 2009 kwenye Wayback Machine.
  • Finnmark county administration Ilihifadhiwa 24 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
  • Visitnorthcape.com - official travel guide to Finnmark Ilihifadhiwa 6 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine.
  • Finnmark at the official travel guide to Norway

Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Finnmark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 78 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article