Daniel Marc Snyder (alizaliwa Novemba 23, 1964) ni mfanyabiashara na mmiliki wa zamani wa Washington Commanders, franchise ya Futiboli ya Marekani inayomilikiwa na National Football League (NFL).Alianzisha kampuni Snyder Communications mwaka 1989, akikusanya utajiri uliompeleka kununua Washington Commanders, wakati huo ikiitwa Redskins, kutoka kwa Jack Kent Cooke mwaka 1999 kwa dola milioni 800.Aliuza timu mwaka 2023 kwa dola bilioni 6.05, moja ya mauzo makubwa zaidi ya franchise katika historia ya michezo. Kufikia 2026, utajiri wake ulikadiriwa kuwa dola bilioni 4.7.
Marejeo
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Snyder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
_(cropped2).jpg?width=1280)