factograf
SW

Brigham Young

Brigham Young

Key facts

tarehe ya kuzaliwa1 Juni 1801
tarehe ya kifo29 Agosti 1877
kaziMwanatheolojia, nabii
Mahali alipofarikiSalt Lake City
mwenziMiriam Angeline Works Young
Mpango wa Wokovu kadiri ya Umormoni.
Mpango wa Wokovu kadiri ya Umormoni.

Brigham Young (1 Juni 1801 - 29 Agosti 1877) alikuwa kiongozi wa Wamormoni aliyemfuata mwanzilishi Joseph Smith, Mdogo kuanzia mwaka wa 1847 hadi kifo chake.

Hasa anajulikana kwa kuwaongoza Wamormoni katika safari yao ya kuhamia jimbo la Utah.

Marejeo

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brigham Young kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 53 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article