factograf
SW
Sign in

Mchezaji wa mpira wa miguu wa Marekani

Brian Griese

Brian Griese

Key facts

tarehe ya kuzaliwa18 Machi 1975
Urefu75inchi
mahali alipozaliwaMiami

Brian David Griese (alizaliwa Machi 18, 1975) ni kocha wa kitaalamu wa futiboli ya Marekani na mchezaji wa zamani ambaye ni kocha wa nafasi ya kuongoza mashambulizi wa timu ya San Francisco 49ers katika ligi ya NFL. Akiwa mchezaji wa zamani wa kuongoza mashambulizi katika ligi ya NFL, alicheza futiboli katika timu ya Michigan Wolverines na alichaguliwa na Denver Broncos katika raundi ya tatu ya ya ligi ya NFL.


Read next

In 7 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article