factograf
SW

daktari kutoka Marekani

Baruch Blumberg

Baruch Blumberg

Key facts

tarehe ya kuzaliwa28 Julai 1925
tarehe ya kifo5 Aprili 2011
kazidaktari
mahali alipozaliwaBrooklyn
Mahali alipofarikiMountain View
All data from the card 2
Amezaliwa
28 Julai 1925
Kazi yake
daktari kutoka nchi ya Marekani


Baruch Samuel Blumberg (amezaliwa 28 Julai 1925) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza damu ya watu. Mwaka wa 1976, pamoja na Carleton Gajdusek alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baruch Blumberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read next

In 62 languages

Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article