Alexandre do Nascimento O.P. (1 Machi 1925 – 28 Septemba 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Angola ambaye alihudumu kama Askofu Mkuu wa Luanda kuanzia mwaka 1986 hadi 2001. Aliteuliwa kuwa kardinali mwaka 1983.
Marejeo
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
