Kikistane (pia Kisoddo) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakistane. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikistane imehesabiwa kuwa watu 255,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikistane iko katika kundi la Kisemitiki.
Kikistane
Read next
In 14 languages
Text from Wikipedia, CC BY-SA 4.0 · Source article